17-08-2023
Kanuni Mpya za Usajili wa Laini za Simu, 2023
Yapi mabadiliko ya kanuni hizi?, Vipi vitu muhimu vya kuzingatia?, Upi utaratibu wa Usajili wa laini za simu kwa watoto? Je mtu anapofarika utaratibu upi hufuatwa?
Haya na mengine mengi yameongelewa kwenye kipindi maalum kinacho angazia Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa Laini za Simu, 2023.
#ElimukwaUmma
#MawasilianoKwaMaendeleo
#tcrapodcast